Friday

HIVI NDIVYO MR RAQEY ANAVYOANZA MAISHA MAPYA KAMA MUME RASMI WA SARA RAQEY MOHAMMED



Huu ndio usafiri alioutumia Ndugu bwana harusi!!


Hivi ndivyo mgeni mualikwa nilivyoji-fashion police!!



RQ; Dogo piga picha nzuri! kama zikiwa mbaya kutakuwa hakuna ummuhimu wa kuja na kamera hapa!!
ZNG; Ah bro niaje chali yangu! am a professional photographer wa I-View, so usijali kabisa



cheti cha ndoa!!


Nakukabidhi ndugu yangu!!


RQ; Nitampata Cindelleral wangu kweli? naona mambo yanakuwa mengi!!
AR; usijali ni protokali zinafuatwa!!

Wadau mbali mbali walikuwepo kushuhudia hili!!







paparazi walikuwepo kupata Picha



Pete kidoleni!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie