Sunday

It was more than a WEDDING PARTY!!


RQ; Huyu ndie mke wangu jamani!! nakupenda sana Sarah


Tupo kisherehe zaidi!!


wadau walikuwepo pia


cute eh?


Ali rehmtulah nae alipata wa kwake!!


Mustafar Hassanali nae alijipatia wa kwake!!


No One like u!!


Kila mtu alikuwa na style yake ya kucheza! ili mradi kufurahi tuu!!


Bi harusi nae havumi lakini yumo katika kusakata dance!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie