Thursday
Breaking New!! Nelly Kamwelu,Former Miss Ilala Planning to be Engaged soon
Shines more than never Before.. lol
Kama mastar wa movie yakihindi vile!!
She is among the people i support on whatever she wanna do in her life!! the resoan behind is because she really respect me and understand me!! i met her last week and She was very nervous to tell me what she wanted to tell, in my mind i thought maybe she has problems!! kumbe si chochote zaidi ya hiyo breaking News ya kuwa nategemea kuwa Engaged soon, amekuwa katika relationship for more that 3Years so anaaamini amemjua mchizi vya kutosha na sasa niwakati wake wakuwa Engaged about kuolewa kabisa anasema bado kidogo, itachukua muda kwa yeye kuamua kuolewa kwa sababu anaamini ndoa ni jambo la Heri hivyo si lazima kufanya mambo haya haraka haraka!!
ila wewe hebu tuambie ukweli huyu ni demu wako? kumbukumbu zangu zinaniambia mshawahi kutolewa katika gazeti la udaku pamoja miezi michache nyuma, kaka tuelezane kama ndo mchumba mwenyewe
ReplyDeletehapana ndugu yangu, she is a gud friend of mine
ReplyDeleteunadhani atakubali? pigia mstari ndi jibu hilo
ReplyDeletenyie mbona mnang'ang'ania wake? si kakataa? watanzania bwana always tunapenda kudanganywa.
ReplyDeletethanx @pamela
ReplyDeleteSorry nina swali la kizurishi mdogo wangu, ww ndio yule mdogo wake carline aliyekuwa anakaa Sinza palestina? pls unisiniignore
ReplyDeleteYes I am! I cant ignore you
ReplyDeleteGood luck my dear Nelly. If this is true, i wish u the best of luck. Sarah Nyamwenge, Uganda's Super Model.
ReplyDelete