Tuesday

Each moment in my life is full of happiness


Me and my man!!



Najuta kwanini sikuolewa mapema





I wonder kipi kinanifaha mimi hapa!!!!



Thanx for being my Fan... nawapenda na kuwajali
Lady Jay Dee, Binti machozi

8 comments:

  1. Anonymous07:18

    jide nakupenda sana, enjoy kwa raha zako

    ReplyDelete
  2. anicia07:19

    Unahitaji kuenjoy mylove umetoka mbali na life yako

    ReplyDelete
  3. ametoka mbali na live yake? kama unamjua vile? au ndugu yake wewe? Bravoo Judith

    ReplyDelete
  4. Anonymous07:51

    wow nice photo of Lady Jay Dee and her hubby Mr. Gardner.....They are Jay Z and Beyonce of Tanzania...........Mungu awabariki na kuwaongoza!
    Love you Jide!

    ReplyDelete
  5. Anonymous10:50

    Wamependeza sana..

    ReplyDelete
  6. Anonymous01:18

    mashalaaah, wanaendana hawa hadi raha. naamini na mimi nitapata soon

    ReplyDelete
  7. Anonymous01:55

    napenda sana nyimbo yako mpya. ile ya malaika

    ReplyDelete
  8. Anonymous02:29

    NAULIZA TU, NI KWELI JID NA KAPT. MNATARAJIA MTOTO?? NILISIKIA KWA MBALI SANA AU NDO MAREDIO MBAO??

    ReplyDelete

sema tukusikie