Thursday

Designer anaetamba South Africa

Anajulika kwa jina la David Tlale ni moja kati wa wabunifu wakubwa nchini south africa na anajivunia kazi ya mikono yake!! Alikuwepo nchini Tanzania mwishoni mwa mwaka jana katika onyesho la SWAHILI FASHION WEEK na kunauwezekano mkubwa akaja nchini tena mapema mwaka huu!!






Go... David Tlale

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie