Monday

Most talented model 2008-2009 Met Miss Tanzania 2007


Katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na miss 2007 ambae anasifika kwa kutokuwa na skendo!! i love her for realy!! She is a very nice chick and i wish ningemfanya awe mke wangu!!

5 comments:

  1. Anonymous22:52

    Waooh mmependeza kwa kweli. na ndo km akiwa wife mtatoa watoto bomba ile mbaya yni itabidi baba mtu uwe unatembea na vimshale lol........

    ReplyDelete
  2. mishale tuu?? mapanga na bastola nitanunua wasije kuniharibia wanangu bure!!

    ReplyDelete
  3. Anonymous07:25

    mmmh yam yam nice pic dude mkeo nini maana sisi tunao ishi uku mtwara mambo ya mjini kuyajua ni shida. vp muzungu nini?

    ReplyDelete
  4. Anonymous16:58

    Labda ndo mambo ya blogs etc lakini as a writer, journalist, or someone who brings info to the public, i do not thing its a great idea to tell us your feelings toward her.
    Let us know her based on her beauty, merits and good behaviour..
    Mbili tatu zangu hizo.

    ReplyDelete
  5. Anonymous06:09

    Keep dreaming...kazi ni kukumbatia mbuyu sio kuuzunguka

    ReplyDelete

sema tukusikie