Monday
23rd march is my special Day!!
Kila binadamu huwa na malengo yake kipindi anapokuwa!! na pia maisha yetu yamejengwa na ndoto nyingi za maendeleo na maisha mazuri... lakini Katikati ya maisha haya wengine wanapoteza uhai au hata baadhi ya viungo vya miili yako... lakini je tulio wazima tunafanya jambo gani katika kumshukuru mungu? tunakumbushana tuu, napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapo nilipofika leo, kaniwezesha kukutana na mambo mbali mbali mazuri na mabaya pia ambayo naamini ilikuwa ni mitihani katika kunijenga na kunipa ujasiri, masaa machache yajayo nitakuwa natimiza miaka 23, ni hatua kubwa sana nimepiga katika maisha yangu kwa msaada wa watu walionizunguka bila ile mihimili miwili ambao binadamu tunapaswa kuwa nayo, lakini walikuwepo pembeni wamenisimamia na kunifanya kusahau kuwa sina ile mihimili ya mtoto yoyote katika dunia hii.. nasikitika hawapona na mimi leo hii lakini moyoni mwangu watakuwepo mapaka siku nitakayoiaga dunia hii....
Naomba kwa yoyote niliyemkwaza in anyway anisamee na kuniona ni mmoja ya wakosefu katika dunia hii na kwa aliyewahi kunikwaza kwa aina yoyote, trust me nimefuta na kusahau yaliyopita... nakazana kujenga maisha yangu, Mr&Mrs kilongumtwa nawapenda sana, Carolyne Peter Zayumba You real touched my life and God will give u the best mbinguni kama si hapa dunia... Mr&mrs Raqey siwezi kusema lolote lakini mwenyezi Mungu anajua Moyo wangu unawaombe Kheri kila siku, Judith Mbibo Wambura na Mr. Habash thanx for being there.... My life has alot but there are people who give me ahudread reason to smile and think am the best in this World..
Agnes my Sweet Princess, am sorry for the Whole mistake i have made, all the pain i have cost u.. but Trust your the woman of my life and mbele ya watu natamka wewe ndio mke wangu nitakayekuoa, umenionyesha ujasiri ambao wanawake wachache sana wanao katika dunia ya hivi sasa, I love U
HAPPY BIRTHDAY!!!!!!
ReplyDeletehappy birthday!!!
ReplyDeleteMartin Happy Birthday na nimefurahi coz yesterday it was ma bithday too so next year nitakutafuta may be we can celebrate together.
ReplyDeleteits me Precious
Happy bday Homey....live long life!
ReplyDeleteSarah!