Wednesday
My Birthday night
Nani ametisha? Silvia Shari VS Belina Mgeni
Thank You diva, alikubali kuchelewa katika show ili aungane na mimi katika siku yangu special
Lady Ga ga? hapana, madona? hapana.. britney..? hapana Sasa ni nani?
Super model Fideline Iranga alikuwepo
Unacheck madini mkononi?
Sio kila kivaliwacho ni Feki... Belina the super model anakuambia hivyo....
at the same night Jamilah nae alizaliwa...
mapacha wawili waliungana na mimi katika birhtday party
Shukrani kwa moyo wako wa upendo kwangu.. uliamua kumuacha mgonjwa japo kwa saa moja ili kuwa pamoja nasi.... Thank you Hadija mwanamboka
Queen gupta alikuwepo na bro Kay tee
How hot can chicks be in Black......
Cabaiser and Mo racka.. doing their thing!!
Party people walivamia...!!
My sweet Female hot Dj Fetty, i Loved her hair do, dress code and a cute smile she has.... She is my ...................
Hot dada's(my sisy Carolyne and Irene binti wa uwoya walijitupia black)
Hot Irene Uwoya alijiachia na sisi baada ya kumaliza kurekodi tv show ya SElebuka
Silvia katisha,,safi sana umenfurahisha mkurugenzi...hehehehe
ReplyDeleteMdau Port Elizabeth
i love irene!!!!
ReplyDeletehuyo diva kam mzee wht a hair style daaah haitakupendeza hata kidogo
ReplyDelete