Wednesday

Part II ya birthday ilikuwa ni suprise

Niliamua kutoa zawadi kwa mtu nimpendae kwa usiku huu... ilikuwa ni tabu kidogo kwani kila mtu alitamani kuwa Yeye...


Unanitega nikupe zawadi??

Dj fetty akasema nimpe yeye atanipa promo hata kama siimbi bongo flava... ahha ha kidding

Hawa nusura wanitoe roho kisa zawadi....

Huyu akazuga kutaka kupiga picha na mimi, after that akaninong'oneza nimpe yeye eti ananipenda toka long tym.... Weeee!

nikataka kumpa loveness akagoma!!


finaly nikampata wa kumpatia....ni Yeye ananifanya niwe juu sikuzote... she is my woman


Kamwe hakuna upweke wala baridi kati yetu.


Lets dance until the sun comes


Shukrani zangu za Dhati kwa kila aliyewezesha hii siku kuwa njema na ya kufurahisha!! sitaisahau kamwe..

1 comment:

  1. Ma chıck do stuff that yo chıck wısh she cud.......U rock..Hongera wangu...yangu so soon!

    ReplyDelete

sema tukusikie