Friday

B 12 ndo Terrence wa bongo nadhani

















































Ukizungumzia swala la Trends and fashion... nimekuwa nikimkubali sana Terrence he has this charming touch of style with young look.. hii imekuwa ikimfanya apendwe sana na mabinti... Tukirudi nyumbani kwetu hapa Tanzania B12 amekuwa akijitahidi sana katika uvaaaji wake na watoto wamjini wanapenda kutumia neno la kutupia! anjua kutupia!! so kwa mtazamo wangu wa haraka haraka nimekuwa nikimuona B twiz ana touches za terrence katika mavazi!! Good start hope tutapata watanzania kibao watakaokuwa wana uvaaji wa kugusa wadau wa fashion!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie