Friday

Jinsi ya kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi wa kimapenzi mbele ya Mwanamke yeyote!!

Wanaume wengi tumekuwa tukijidanganya kuwa kama huna mvuto i mean uzuri asili basi huna thamani mbele ya mwanamke! thats so wrong!! mvuto asili ni vionjo tu vinavyomfanya mwanamke akutamani na sio kukupenda.. wanaume wangapi wenye mvuto wameishia kuanguka katika mikono ya wanawake wabaya na wasio na mvuto unaoufikiria? najua hakuna mbaya duniani ila viwango vya uzuri tumezidiana, wapo wazuri sanaaaaa na wapo wakawaida hivyo usijishushe kwa kuwa unahisi huna mvuto!! leo nafunguka kukueleza jinsi unavyoweza kuwa mmoja ya Most desired Man hapa tanzania, wazungu wanasema "Nothing is more desirable to women than a man who is passionate, goal oriented, seductive and valuable. There is something hot about a passionate man that makes every woman melt.

1. Trigger Her Emotions:
wanawake wengi wametawaliwa na hisia na katika swala zima la mapenzi, hivyo wanaongozwa sana na hisia.. kikubwa unachopaswa kufanya ni kuteka hisia zao! hii ni kazi rahisi sana hupaswi kuwa umekwenda shule au una uzoefu wa mapenzi.. njia kubwa ya kuteka hisia zake, onyesha unamjali na unaelewa kile anachojaribu kukuelekeza na katika kila asemalo uwe na kionjo wa Gesture kwa kizungu, maneno kama pole, inasikitisha, inafurahisha, unanisisimua na mengineyo mengi kulingana na eneo mliopo wakati wa mazungumzo.. sio mko msibani unamwambia unanisisimua, how that can happen?? This is the biggest secret art that can make you a desired man for weman.


































No comments:

Post a Comment

sema tukusikie