Monday

From Grammy Awards 2011 to Mvutokwanza-Tz this is my fashion police

ciara ia this back to africa?? No!! its just fine ila sio mapigo yako... umejaribu kubadilika ila kwangu sijafurahishwa!!
Eva longoria this is what i call clean fashion.. so simple and smart!!
Katy perry am sorry!! naweza kukupa tuyo ya waliochemsha kwa upande wangu... ulikuwa unafikiria nini? ulitazama umbo lako na unachozaa kabla ya kutoka??
Kama kawaida yako Kim k.... umetishaaaaaaaa mng'aro mng'aro umeutendea haki yake... nakuita Fashion Star of the night!!
Your still into animal prints in this big event nick minaj?? its very okey but sikuona kama ilikuwamuhimu sana wewe kubaki huko wakati dunia ya fashion taratibu inaanza kuhama.....
Adam You are fashion.. so perfect!!
Christina you understand fashion.. i loved your dress but nywele zako ungezibana kidogo au kuzipeleka upande mmoja ungependeza zaidi.. your face ingestand out zaidi!!
Align CenterAm falling in love with you jennifer Each and everyday.. your so matured and yet sexy mama...marc anthony am out of words.. you are a great husband!!
Justine umevaa uhusika wa kujitambua kuwa wewe ni staa na unapaswa kubadilika kutokana na mazingira ila bi dada Rihanna umependeza sanaaaaaaaaaatena sana ila nahisi kama hii nguo ilikuwa tu mach au ndo unajigagalishazi?? maungo yanaonekana... watanzania pls pls tusicopy uvaaji huu utakucost
Am so disapointed na Willow.. i was looking so forwad kwako ila dah... kiatu na that pant...kwangu walaaaaaaaaaaaaaaaaa... sijafurahishwa na wewe... your mum knows fashion very well why wamekujaza makorokoro??



more from grammy to come

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie