Monday

Valentine's Out with Friends!!

Niligundua kila siku niko na mpenzi wangu si mbaya kama siku ya leo nikiwakumbuka rafiki na dada zangu ambao kwa kiasi kimoja au kiingine wamekuwa wakinisaidia, Khadija Mwanamboka thanx for being out there!!
Gagalicious with her smile alikuwa pamoja nasi kusherekea siku hii ya wapendanao.. ananipenda nampenda pia... kila mtu ana maisha yake na deal zake but in other way amekuwa akinifanya nitabasamu kila mara napokutana nae.. get to know her!!



Katika geuka geuka za hapa na pale nikakutana na madini pembeni yangu yananing'inia kabla sijajua ni nani nilikamata camera na kupiga picha....

Kumbe ni Jux bana kale kajamaa kanakotupia ile mbaya kwa kipindi hiki... panapohitaji sifa tutoe sifa... he is trying to make it to his own world.....



Hiyo mkononi ni tatoo au sticker Jux? kama sijaelewa hivi?? all in all was nice meeting you here at Double Tree by hiltoni nilipoamua kutuliza akili yangu siku hii ya wapenda nao!!



No comments:

Post a Comment

sema tukusikie