Wednesday

Weekend out at Jangwani Sea Breeze

Kimwana Myler alikuwepo pamoja nasi
I just loved her Eyes na mwili wake
Mtoto Shadee with hot look hapo.. sijui alikuwa nafatilia nini kwa makini hivi!!
Kamanda wa Shughuli nzima ya Swimming kwa siku hiyo Muli B.....
Jahazi la Uogeleaji liliongozwa na kibonde!!
Mzee mzima Arnold Kayanda with peace ndani ya maji!!
Muli B naye sikumbuki alikuwa napiga kele za nini pale nyuma!!
Milard Ayo mtangazaji mahiri wa Amprifaya alikuwepo kupata upepo.. sikumuona akiingia ndani ya maji sikujua sababu!!
Mwanadada Elsi.. alikuwepo pia to shhow some love
Kulia ni Parfect na kushoto ni Arnold kayanda

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie