Tuesday

Costantine Magavila na Ndoa yake iliyoacha Gumzo Jijini!!

Mr& Mrs Magavile...Mke Anaitwa faraja mdegela kutoka Iringa na ni Dr by proffesional..Mume ni Costantine magavila Yeye ni mngoni kutoka songea
I loved their looks.. ndoa ilifungwa St Peterz church na hafla kufanyika Kunduchi beach hotel..Kikwete hall...
Huyu ndiye alikuwa Matron wa shughuli hii.. nguo poa sana
Baba mzazi wa bi harusi...
rahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Baba mzazi wa kijana wenu Costantine
baada ya nasaa za mzazi Elsi aliongoza gurudumu la ufunguzi wa Shampagne
Shampagne haikuwa moja tu....
na nyingine tena
ilikuwepo nyingine tena na tena na tena..... unamkumbuka huyu??
Nakupenda sana mke wangu.. jinsi unywavyo shampagne hii ndivyo uninywe mimi na kunitunza ndani ya moyo wako mpaka milele....
Happy people
Asante kwa kushirikiana na sisi
Gonga kidogo basi bana!!
Cant get the right word kumuelezea mke huyu wa Costantine.. she is so pure na alipendeza sana...
Shamimu wa 8020fashions huwa anapenda kuliita ji ugonjwa... maalumu Costa na faraja hilo hapo!!
Hii nimeiandaa maalumu kwa ajili yako mke wangu....
Simple and nice cake is what i can say!!
Wewe ndio nyota yangu kama TID... niache niwe teja kama Jay dee...Isije ikanikuta robo ya saa ya Amini bure...Beka kutoka THT alipamba hafla hii kwa good music
hii ndio suti maalumu kwa shughuli kama hiz Beka.. u looked great!!
Reporter wa akiba akikusanya kumbukumbu zake na facts za hafla hii ya kaka yake....
I have been waiting for this day... and finaly today we a dancing the first song for our marriage love!!
And you will always be my bread when am hungry and most of all you will always be here for me!!
Nyie mnatumia red carpet kuuzia sura.. mimi ndo nasakata rumba hapa hapa..
mama Mkwe wangu naae bado yumo katika kusakata rumba....
Martin na urefu huo utaweza wapi viduku???
enzi zetu nilikuwa naenda mpaka chini lakini hapa nikiteremka zaidi tunaweza kutafutana hapa ....
We Rio hebu fungua macho hayo vizuri... kwi kwi kwi kwi
Siku moja hii picha itakuwa sebuleni kwetu maa
vidole navyo vinapata tabu katika upigaji picha.. nyie acheni tu!!
Wadada mmening'arisha sana!!
Shazda,martin and morine kwa upana na urefu
I just loved his look..red tie inaradha yake katika uvaaji wake!!
Hakuna asiyependa picha bana...... tena za good quality...
ahahhahhahha aha jokate you know the reason ya this dude kufanya hivyo mdomo wake eh? mi sisemi neno!!
Silver tie zinawaka hapo kati balaaaaaaaaaaaaaa
Arnold mbwe mbwe za nini hayo macho au ndo kujiweka na wewe unoge kama star Rio Powder??
I loved each and everything from this wedding... it was all white decor ukumbini with a touch of silver!!
Umewahi kumuona Rio powder ndani ya suti? huyo hapo sasa!! hapana chezea yeye!!
Ukijiona mweusi peke yako katika weupe si mbaya ukicheka sana ili upate kuonekana,,, loving me
Arnold nani kakufundisha kutabasamu? maana unatufunika wote katika hizi pics!!
Too bad sikupata picha za full kutokana na mwanga kuwa in mood lighting....loved my shirt!!
Loved your BB cover... looks good on you!!
Tabasaamu basi kidogo kaka.. mtoto mkali pembeni alafu macho makavu hivyo? just kidding bana.. nice pic!!
Jokate, Anorld with Morine... i loved their looks!!
Arnold kayanda, Elsi and Jacq
kuna kama mafeelings flani hapa eh??

2 comments:

  1. amaizinnnng beautiful pictures....i loooov them

    ReplyDelete
  2. Anonymous00:37

    when was this?

    ReplyDelete

sema tukusikie