Wednesday

Lunch Together with our new baby Farha Sultan..@nyumbani Lounge

Ally remtulah na Fashionistar wetu Marsha joined us katika this Lunch ya Farha... Hapa nyumbani lounge

Nyumbani Lounge patamu bana...I love the colours in it.....huyu ndo mtoto wetu aliyezaliwa leo..kazuri eh??


Mama yetu kipenzi jide alipita kupata picha na wasichana wenzie hapo
looking great together hawa Madesigner wakongwe mjini hapa..



No comments:

Post a Comment

sema tukusikie