Thursday

Nilichokishuhudia katika fainali za Cecafa uwanja wa taifa..Serengeti Stars walipotutoa kimaso maso

My best male performer Ally kiba alikuwepo siku hiyo kutoa burudani!!
Models hawapo katika fashion tu hata kwa mpira wanajichanganya!!
Sina bendera lakini sura yangu inaonyesha uzalendo nilionao kwa timu na nchi yangu!!
Honestly zamani nilikuwa nadhami mpira its a very boring thing kama wewe ni mtazamaji lakini kwa sasa Daaaaah!! bora niungue najua lakini niende uwanjani kujipatia raha....
Bendera popote ipepeapo inaonyesha amani na upendo tulionao watanzania!!
Mtu nyomi siku hiyo bana kazi ilikuwa kutafuta angle nzuri ya kupata picha!!
Uwanja ulishona kisawa sawa
na tulikuwa na kombe letu tayari hapa tusingeshinda baado tungeshangilia tu!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie