Tuesday
Jeans kwa Wanaume
For most, men's jeans are the most valuable player of the wardrobe. Hii si kwasababu ni nguo inayouzwa aghari kwa mahesabu ya haraka haraka lakini ni kutokana na muonekana mzuri inayokupa hiyo jeans.. mimi binafsi nikivaa suruali ya kitambaa huwa sipo huru sana kama nivaapo jeans.. kuna muonekano flani wa kuime unaonekana pindi uvaapo jeans tena iwe rough kidogo.. hii ni kutokana na jinsi inavyoukama mwili wako na ukakamavu uliopo katika material yake.. wataalamu wanasema "it's their versatility that's important, as you can wear jeans around the house, in the workplace or on casual outings"
Kuna mambo ya kuzingatia pindi unapohitaji kupata jeans itakayokufaa na kukupa muonekano mzuri kwa muda mrefu...
1. tafuta timeless jeans- this means jeans ambayo haitachukua muda kuisha katika fashion.. yaani ipo on fashion always na hata uvaaji wake usiwe mgumu kulingana na viatu au shati/tishert utakayovalia.."it's hard to say what will be in style a year from today, but by sticking more or less with tried and true denim styles, you can aim for and land a pair of jeans that will remain stylish for years"
Kwa upande wangu as a stylist ningependa kuchagua hizi aina mbili za jeans uendapo dukani
(i)Original blue jeans: Evolving from rough and tumble work wear, these are now one of the most versatile pieces of clothing you can own.
(ii)Slightly faded blue jeans: More casual wear than anything else, these can nevertheless also look hip with a nice sports coat and shirt.
Kwa kuzingatia hayo utajiona uko fresh.. msafi na mweny furaha kama wewe ni mpenzi wa kupendeza!!
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie