Monday

The new swagger on your television....

Kale ka dada machachari katika kugusa hisia za watu kupitia kale kasauti kake ka kitoto Shadee anasogea karibu zaidi na maisha yako kwa hisi sasa.. mkamate pale cloudstv kila siku kuanzia saa moja na dak 45 mpaka mbili kamili.........
Loving them swaggers... honestly haka kademu huwa kananikosha bana.. ana kaumbile flani kakitoto!!


inaonekana hii angle anaipenda sana!!


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie