Sunday

Vita ya Gaga na Beyonce ni ya kipuuzi!!


Katika siku za hivi karibuni kumezuka maneno ambayo yamekuwa yakiashiria kuwepo kwa uhasama baina ya Lady Gaga na Beyonce..... binafsi nimegundua mafanikio ya Gaga yakuwa yakimkera beyonce kwa kuwa hakujua ni mmoja katika wa wasichana watakaokuja kuwa powerful katika muziki zaidi yake.... katika hali ya kawaida.. video ya telephone aliyoifanya Gaga na beyonce ilionyesha uwezoo waliokuwa nao mabinti hao lakini sasa Beyonce amekuwa akikereka na vituko vya Gaga kwa madai kuwa Gaga anatafuta umaarufu zaidi... kuna ubaya gani ukitafuta umaarufu ili kutangaza career yako? mtandano unasema,
“Beyonce believes that musicians should let their talent do the talking and she finds it really tacky that Gaga constantly tries to one-up everyone with her ridiculous fashion statements.”

Gaga anaamini kuwa kuna haja ya kuyazungumza haya na beyonce na ikiwezekana aombwe msamaa na malkia huyo wa Rn'B

“At this point, Gaga is used to people criticizing her. It’s a part of being successful, but she never expected it from Beyonce, who she saw as a friend and supporter,” tipster in Gaga’s camp claims. “Gaga plans to confront her the next time they run into each other and demand an apology.”


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie