Wednesday

200 African dancers kushiriki Video mpya ya Beyonce...

Beyonce akiwa tayari kurudi kwa kasi mpya katika level za juu za muziki wake amekutwa eneo la Mojave Desert.....akiwa amejipanga vizuri kuliteka soko hili tena...Beyonce ame hire new dancers kwa ajili ya kuboresha ubora wa video hiyo...



No comments:

Post a Comment

sema tukusikie