Wednesday

Diddy Asaka dili za kucheza movie kupitia ukurasa wake wa twitter..




Rapper wa kimataifa aambaye ameiteka dunia kwa hivi sasa na kundi lake la Dirty money....P.diddy ameamua kufunguka na kuomba kushirikishwa katika filamu mbali mbali endapo watengenezaji wa Filamu hizo wataona kuna sehemu inayomfaa.. kupitia ukurasa wake wa twitter hivi karibuni alitwit note inayoashiria kuhitaji kwake kuwa ndani ya filamu zijazo.. nacopy alichosema


"Attention to all Film directors, casting agents, producers,writter! i am aspiring actor for hire!! pls call me if you have a job for me!! for real!!"


haya sasa kama mastaa wameamua kufunguka na kuzisaka hizo chance za filamu sisi tukae mkao wa kula kushuhudia uwezo walionao katika filamu... hii haitakuwa mara ya kwanza kwa mastaa wa ulaya kusaka nafasi katika filamu mbali mbali nadhani soko la filamu linazidi kufanya vizuri kadri siku zinavyokwenda. hope oneday tutasikia na lady jay dee nae yumo ndani ya movie na akafanya vizuri pia kama anavyofanya vizuri katika mziki wa afro pop..

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie