Thursday

Rapper The game akataliwa kuingia Canada...

Rapper The gaame ambaye alikuwa anapaswa kufanya onyesho nchini Canada hivi karibuni amezuiliwa kuingia nchini humo na ma afisa wa Idara ya uhamiaji wa nchi hiyo... katika maelezo yake kupitia twitter The Game ameomba samahani kwa mashabiki wake walikuwa wakimsubiri kwa hamu nchini Canada.. maelezo yake katika twitter yanasema.... "am being detained in Canada for 14days until they processmy inadmissibility, they i will have a hearing heared by a judge..... akaongeza kwa kusema....but al least they let me call home & call before the lock a n!gga up"


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie