Wednesday

Halle Berry azidi kupeta na boyfriend wake Olivier Martinez



Halle berry hivi karibuni alifumwa na camera za entertainment rundown akitoka kupata lunch katika restaurant yakimexico katika katikati ya jiji la Los Angeles.. muonekano wao uliashiria furaha ya wazi aliyokuwa nayo halle berry!! it feels good when you have someone special on your side mara zote unapomuhitaji!! look at them pictures, how relaxed she is and how happy she is....

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie