Wednesday

Wendy William aenguliwa katika Dancing with the Stars....


Yule mama nguli katika talk show ...Wendy william ametolewa katika lile shindano la dancing with the stars... wendy ametoka baada ya kupata pointi 15 kati ya 30 baada ya kuperfome The fox trot..

Baada ya kutolewa wendy aliliambia gazeti "we were robbed" pia alimshukuru patner wake katika kucheza Tony dovolani kwa kumfundisha kucheza pia..

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie