Monday

Ciara na Amar wazidi kuponda raha

Weekend iliyopita mwanamitindo maarufu na mwanamziki Ciara alifumwa katika pwani za jiji la Miami akila raha na mpenzi wake ambaye nae ni mcheza kikapu maarufu... picha juu nimeipenda mwanadadaa alivyojitupia katika swimming costume yake!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie