Monday

Rihanna na Chris tena........

Katika siku za hivi karibuni wanamziki Rihanna na Chris brown wamerudisha urafiki wao kaatika twitter ambapo Chris anamfollow Rihanna na Rihanna just followed him back... hii inaonyesha kuwa kidogo ile bifu yao kubwa iliyoibuka baada ya kibano alichokipata rihanna kutoka kwa kijana huyu imeanza kupungua... kupitia kurasa wake wa tiwtter Rihanna alikuwa anajibu tweet aliyoandikiwa na fan wake kuhusiana na uwezekano wa kurudiana kati yake na Chris .... Rihanna replied on that tweet kwa kuandika....."its f**in twitter, not the alter! calm down"

who knows ndugu zangu maybe ipo siku hawajamaa watarudiana kama ilivyo kwa Wema Sepetu kurudi kwaa Charlz Baba baada ya kutemana na yule Aliyemake nae headlines Diamond da Platnumz


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie