Monday

Lady Gaga na Kiatu cha Nyeti za kiume!!



Akiwa ndio mwanamziki pekee anayemake headlines kwa hivi sasa kutokana na vituko anavyofanya...Lady Gaga weekend hii aibuka na kali zaidi baada ya kuingia katika American Idol akiwa na viatu vyenye visigino vinavyoonekana kama nyeti za kiume!!

Wageni wakiwa Excite kumuona Gaga walishangazwa kuona akiwa katika nguo simple tofauti na nguo za ajabu ambazo mara zote anavaa, ila mambo yalibadilika baada ya kuona kuwa vituko vyake kwa siku hiyo vimehamia miguuni hebu tazama picha hizo hapo!!



No comments:

Post a Comment

sema tukusikie