Thursday

BeyoncE ajiandaa kuvyatua Perfume ya Tatu "PULSE" baada ya Ile "HEAT"

Bado napaswa kumuita Mwanamziki kwa mafanikio anayoyapata kila kukicha? naomba nimuite Mfanyabiashara maarufu wa Muziki na manukato Beyonce anajiandaa kuzindua Perfume yake mpya mapema Mwezi September Mwaka huu. Akiongea na Gazeti moja maarufu Dunia Beyonce amesema, "Heat ni perfume yangu ambayo toka nimeizindua imekuwa ikifanya Vizuri sokoni sasa nimeamua kuja na kitu kipya kingine ambacho zaidi kinagusa zaidi nguyu ya ndani ya Mtumiaji, muhimu ni kwamba "PULSE" ni yule Beyonce mnayemuona akiwa stejini jinsi ambavyo najisikia raha"



No comments:

Post a Comment

sema tukusikie