Friday

Birthday Ya judith Mbibo "Lady Jay Dee" @nyumbani Lounge

Tar 15 june nilipata ujumbe mfupi wa maneno, ilikuwa ni mualiko kutoka kwa Gadner akiniomba nisogee pande za nyumbani Lounge kum-wish my sister JUdith Happy Birthday!! kwakuwa sikuwa na shughuli zilizonibana, mapeeeema nikasogea kwa tukio... picha zaidi za yaliyojiri chini hapo
Jide alipendeza kwakweli.. mwenyewe anasema kutoka juu mpaka chini ilikuwa ni Zawadi tu, nguo aliyovaa aliletewa zawadi,hereni mpaka na kiatu...niceeeeee

Hivi Ndivyo Husb wake alivyolishwa keki na kelele kibao za wapambe zilisikika.Mama wa Mitindo Tanzania alikuwepo na Ankal walibeneke alikuwepo, mama wa Hasheem Thabit alitia maguu pia


Muite Muli Bling Bling akiwa na Shadee na Dina Marios wote wakiwakilisha Clouds Media

Bijoux na jide

Zainul,Milad Ayo,Ankal naMarcel mtaalam wa make up na nywele

Shaa"Sarah Kaisi" na Master J walijumuika hapa

Bob junior,Jide,Jafarai na Sam Machozi


Vijana kutoka Mo Blog waliowezesha kupatikana picha hizi wakiwa na Asia Idarous

1 comment:

  1. Anonymous07:26

    happy birth day .... vry nice may god gv you 100 yaers to go

    ReplyDelete

sema tukusikie