Wednesday

Bring Them Swaggaz

You got your Own Swaggaz?? sasa tar 4 zidondoshe pale kati.. tupia ile mbaya maana Party mastaa wote inadondoka ndani ya Club Sun Cirro kwa kiingilio cha buku kumi tu kama ukifika kabla ya usiku wa manane na 15,000/= baada ya hapo. Dress Code kwa sikuhiyo ni Mitupiko tu.. yaani tupia mbaya. Dj mackay,Dj mafuvu an Dj kit watadondosha Hits za hatari. Come and Experience the New thing in Town

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie