Monday

Finals Za Dance LaFiesta 2011

Jaji wa Dance LaFiesta Hamis Mandi "B12"
Qwhisar kutoka CloudsTv "Step Up Player"

Sikumbuki Jina la hili kundi lakini niliwapenda sana kwa upande wa mavazi!! walijipanga sana, wametokea Zanzibar



Vijana kutoka dar es salaam wanaotambulika kwa jina la The Underzone ndio walioshinda shindano hili

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie