Jaji wa Dance LaFiesta Hamis Mandi "B12"
Qwhisar kutoka CloudsTv "Step Up Player"
Sikumbuki Jina la hili kundi lakini niliwapenda sana kwa upande wa mavazi!! walijipanga sana, wametokea ZanzibarVijana kutoka dar es salaam wanaotambulika kwa jina la The Underzone ndio walioshinda shindano hili



No comments:
Post a Comment
sema tukusikie