Ieleweke hizi picha ni mali ya martin Kadinda na Jackline Cliff mambo ya kuzifanyia matumizi yenu Binafsi sio ustaarabu!!





Last weekend nilipita zangu beach, mimi sio mpenzi wa kwenda Gym na sina mpango nako kwakweli ila who knows? maybe ipo siku nitaanza kuingia Gym, so mara nyingi napendelea kwenda swimming jioni au kama nikiwa free mchana huwa nakatisha baharini kuogelea hata kwa dakika 45,
Juzi nikiwa katika utaratibu wangu wa kwenda beach nilikutana na my good friend Jackline patrick akifanya Photo shoot kwa ajili ya Tangazo la WoolWorth nadhani kama sijakosea, kama mnijuavyo ndugu yenu palipo na kamera ndio kwangu!! nikaingia hapo! kazi ikawa ni moja!! alipomaliza kufanya kazi yake na mimi kaingia kupata picha for my blog!! from kesho nitakuwa nazitupia humu ndani, tuanze na hizi Exclusive
Beach kuna raha yake bana hasa ukiwa na mtoto mkaliiiii on your side!!
The urban Gent for this time ni inarudi miaka ile ya nyuma ambapo tulikuwa tunavaa kofia ambayo hapa mbele imekunjwa kidogo haijanyooka wima kama wanavyovaa vijana wengi mpaka leo, kofia hiyo lazima iendani na Simple tshirt ambayo ukiingalia kwa haraka inakuwa kama imechaka lakini sio kuchakaa ni muonekano wake tu,
unaweza kuvaa na kishati/kikoti cha uzushi kwa juu ila usiifunge vifungo hiyo shati na chini unapiga pensi, pensi hiyo unaweza kuivalia na Sandals(kiatu cha wazi) au zile raba ambazo zinavitobo vidogo vidogo, picha hizi zitakusaidia kuelewa zaidi










Bvlgari Extreme (bulgari Hii ilizinduliwa mwaka 1999 na imeweza kufanya Vizuri katika soko la Perfume mpaka leo hii naipa nafasi ya Pili kwa perfume bora zaidi za kiume.
DOLCE & GABBANA Light Blue inaitwa Light Blue ni Product ya Dorce and Gabanna ni nzuri sana tu, kinachonifanya niipende na kwanini imetokea kupendwa na watu wengi, ni Imepoa sana, haina harufu kali, inaheshimu na staha za kiume
Lacoste Red Style in Play hii Pefume ilitoka mwaka 2004 navyokumbuka na hata mitandao inaonyesha hivyo, inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda, pia ina harufu flani kama ya apple la kijani,
Ya mwisho kwa Leo ni Armani code, Kwa wadada this just a Warning For you guys THIS FRAGRANCE IS VERY SEDUCTIVE!!!