Thursday

Kiatu

Ni muhimu kuwa makini katika uchaguzi wa kiatu hasa kwetu wanaume!! kwanini nasema hasa kwa wanaume!! hii ni kutokana na hatuna option nyingi za viatu, viatu vyetu vingi ni vya msimu au vinakuja na kuondoka on fashion.. angalia Supraz ??for now wanaovaa ni wale tu kwakuwa wanazo ndani lakini they are so off fashion!!




Rangi na aina ya kiatu ni muhimu kuangalia maana kuna baadhi ya viatu haviingiliani na mavazi unayovaa!!

Ukiwa ni mwanamitindo i mean fashionStar mara nyingi raangi za viatu ni muhimu kuzingatia maana wewe ni mfano wa kuigwa na wale wanaopenda fashion na hawajui paa kuanzia! so make sure you stand out!!







angalia designs tofauti za viatu kulingana na personality yako

























No comments:

Post a Comment

sema tukusikie