Thursday

Mustafar Hassanali Team ndani ya Fashion Festival

Akiwa na Mbunifu mwenye kiu ya maendeleo ya Tanzania Fashion na maendeleo ya wanawake Mustafar hassanali azidi kuwakilisha katika nyanja ya mitindo na hapa akiwa ndani Ya Fashin festival.



Cnda da king graphic Designer, Gilian Projects Manager, Man himself mustafar Hassanali, Fashin Coordinator Washngton benbela, Marketin Personal Khamis Omary na Honesty.... hicho ndo kikosi kamili cha kazi..Smile for mvutokwanza



Baadhi ya mabanda yaliyoshiriki pia.



Kwa Mustafar Hassanali its all about Mvutokwanza... ukiingia katika maonyesho haya banda la kwanza kukutana nalo lilikuwa hilo hapo juu la Mustafar Hassanali



Cassandra nao walikuwepo

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie