Tuesday

Hot Famous bachelors in Tanzania

Well known as Ally kiba, musician and Fashion Model... ameiteka tanzania kwa muziki wake anaoufanya!! umaarufu zaidi umeongezeka baada ya kuwa msanii wa kwanza kufanya kazi na R.kelly katika track ya hands across the world.. katika blog ya mvuto kwanza tunamtambua kama Hot Famous bachelor in Tanzania.. una haki ya kupendekeza mastaa wengine Tisa unaohisi ni hot bachelors in Tanzania ili kukamilisha list ya mastaa 10 hot in Tz

2 comments:

  1. Anonymous04:28

    more more than hot ma swrt shem wanguuu mm like him sana may god bless him ally kiba .... MOHD MAUKWE

    ReplyDelete
  2. Anonymous19:12

    mashalah

    ReplyDelete

sema tukusikie