Sunday

Ludacris Design kakopi Swagger za B12 katika Serengeti Fiesta 2011

Hamis Mandi aka B12 ndivyo anavyojulikana na wengi wa wasikilizaji wa kipindi anachokiendesha ndani ya cloudsfm (XXL) yeye ndo alikuwa mtu wa kwanza kumuona alipokuja backstage ya Fiesta kwa ajili ya kushirikiana na watangazaji wengine kuendesha Shughuli nzima ya Fiesta kwa mwaka huu, alikuwa chini kavaa Sneaker Nyeusi na ana pensi ya Army pamoja na tishirt nyeusi, haikuchukua muda mrefu kama katika time za tano hivi mwanamziki kutoka marekani Ludacris nae akaingia backstage akiwa na kiundi lake, ila nilipomwangalia kwa makini nikaona kavaa sawa sawa na B12, angalia hizi picha then nipe tathimini yako kama mimi nimekosea

1 comment:

  1. Anonymous08:07

    we martin!iyo ni coincidence bhana,show ilikuwa leaderz na luda alikuwa kempinski,wataka kusema luda alipomuona Hamisi alikwenda mbio mpaka hotel kwenda kuchange?au Hamis ndo alikimbia born2shine kwenda kuvunja kama luda,.mwisho wa cku uandishi wa namna hii tuwaachie uwazi au sani.

    ReplyDelete

sema tukusikie