Martin Kadinda's Official Fashion Blog

Wednesday

Mastaa 4 Ulaya wenye followers wengi katika Twitter

Twitter ni mtandao wa kijamii ambao kwa hivi sasa umeshika kasi ya ajabu hii ni kutokana na kupata updates ya vitu au mambo flani kwa wakati huo huo ukitofautisha na mitandao mingine ya kijamii kama Facebook,myspace au hi5!! kwa maana hiyo sasa mtandao wa twitter umefanya celebrities wakubwa duniani kuwa karibu na mashabiki wao kwakuwa kile wanachokiandika katika page zao za twitter kinawagusa wapenzi wa kazi zao na wanajua nini kinakuja kutoka kwa celebrities hawa kwa kipindi hicho. chini ni list ya mastaa 4 wakubwa wenye followers wengi katika twitter kuliko mtu yoyote mwingine

Lady Gaga amekamata nafasi ya kwanza kwa kuwa na followers 11,576,804. nadhani huu ni mwaka wa Lady Gaga maana forbes wamemtaja kama the most powerful woman kwa mwaka huuNafasi ya pili inashikiliwa na Justin Bieber kwakuwa na Followers 10,961,204Raisi wa Marekani Barack Obama amekamata nafasi ya Tatu kwa kuwa na followers 9,904,371Nafasi ya nne inashikiliwa na Kety Perry na Britney Spears wenye followers zaidi ya 8,000,000


Hope one day na mimi jina langu litaingia katika hizi rekodi za dunia! pole pole ndo mwendo
at 01:40

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.