Wednesday

Nick Minaj Apigwa ngumi ya Mdomo na mchizi asiyefahamika

Msanii wa kike anayefanya mziki wa HipHop Nick Minaj amekutana na kash kash jana usiku baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mwanaume aliyekuwa katika hotel ya Dallas, katika maelezo yake kwa polisi alisema kuwa mwanaume huyo walianza majibizano toka wakiwa katika bwawa la kuogelea na yaliendelea mpaka chumbani ambapo ndio alitandikwa ngumi ya mdomoni. vyanzo vingine vya habari vimesema kuwa Nick Minaj hakuwa tayari kumuelezea kwa undani mwanaume huyo ni nani!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie