Saturday

Mvutokwanza Introduce "Raqsah" to the World

Jermine a.k.a Jahjah akiwa na new born babygirl

Siku moja baada ya kusherehekea Birthday ya mume wake Raqey, Sarah kabahatika kumkabidhi Raqey zawadi itakayomfanya awe na furaha siku zote za maisha yake!! mtoto wa kike Ambaye amepewa jina la RaqSah kama hujui jina hili limetoka wapi mimi nakupa details ni muunganiko wa jina la Raqey na Sarah hapo ndo linazaliwa jina "Raqsah"

1 comment:

  1. Anonymous01:49

    HII COUPLE HUWA NAIPENDA SANA JAMANI MTOTO PIA MZURI HONGERA SANA SARAH & RAQEY.

    ReplyDelete

sema tukusikie