Wednesday

R Kelly akimbizwa Hospital

Mwanamziki R.kelly jana jioni alikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupata matibabu ya haraka! Habari kutoka kwa wasemaji wa mwanamziki huyu amesema kuwa sababu kubwa ya Rkelly kukimbizwa jana hospital ni kutokana na maumivu makali aliyokuwa anayapataka katika koo lake.
Habari zaidi zinasema kuwa sababu kubwa ya maumivu hayo yanaweza kuwa yamesababishwa na kukauka kwa koo, hivyo ataendela kuwepo hapo hospitali mpaka hali yake itakapokuwa imekaa sawa!

Chicago NorthWestern Memorial Hospital ndipo R.Kelly anapopata matibabu

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie