Thursday
Celebrities Wanaomiliki Migahawa (Restaurants)
Bess Bestro inamilikiwa na Sandra Bullock
SteakHouse inamilikiwa na mcheza kikapu Michael Jordan
Southern Hospitality Restaurant inamilikiwa na Justin Timberlake
40/40 ni Bar inayomilikiwa na Mwana Hip Hop Jay Z
Hapa kwetu Tanzania Tunaye Judith Mbibo Ambaye anamiliki mgahawa wa nyumbani Lounge.
Lady Gaga ameingia share katika Restaurant inayomilikwa na wazazi wake iliyopo new york inayofahamika kwa jina la Vince And Eddies
Beso Restaurant inalimilikiwa na Eva Longoria
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie