Monday

Unajua Brad Pit alikuwa Stripper kabla ya kuwa Star?

Mmoja wa Mastaa wakubwa ndani hollywood Brad Pit amewahi kujihusisha na kazi ya uchezaji uchi enzi zake za kuelekea katika mafanikio ya kazi yake iliyompa umaarufu mpaka siku ya leo. Brad alikuwa akifanya kazi hiyo kipindi bado yupo chuo kikuu cha Missouri, Pit alikuwa ni mmoja wa wanakikundi cha kucheza kilichokuwa kinajulikana kwa jina la "DANCING BARES" kama ulikuwa hujui ndo ujue sasa!!

1 comment:

  1. Anonymous21:10

    He was not a stripper but he used to drive the strippers to their shows.Awww English is a difficult language......

    ReplyDelete

sema tukusikie