Monday

Zamaradi Mketema & Martin kadinda

unajua Siku zote nimekuwa nashtukia kuwa napenda picha sana, nakumbuka hadi Lady Jay dee amewahi kuniambia "Martin unapenda picha sana"
Lakini Kadri siku zinazidi kwenda nimegundua picha si ugonjwa wangu peke yangu, asilimia kubwa kati yetu tunapenda picha ila tumeachana na swala hili kutokana na kugundua hatutoki vizuri katika picha.
Leo nikiwa busy napiga zangu picha Dadangu Zamaradi nae si akaingilia kati, basi kazi ikawa ni moja, tumepiga picha weeee mpaka tukamsahau mpigaji picha mwenyewe maana nae alikuja hapa akitaka kupigwa picha
Eneo ni moja ila tu style za macho,mikono na miguun ndo zilikuwa zinabadilika
Mimi napenda picha ila Zamaradi Mketema ni Zaidi yangu.
Cheki mtoto alivyojikunyata utamuuu, raha ya picha hiyo
Nimecolour block a bit today

1 comment:

  1. Anonymous22:33

    napenda colour blocking, pia nakukubali kwakuwa unajua sana fashion, same here man, napenda sana kuwa up-to-date in fashion, last week niliamua kupiga colour blocking ofisini kama siku tatu mfululizo, nilipendeza sana kwani nilikuwa nazipangialia kwa makini nisijekuchemsha, kila mtu alikuwa akinisifia lkn cdhani kama walikuwa wanatambua nimevaa kwa sababu maalum(color blocking) bali nli-note tu "umependezaaaa....!!" "unajua kupangilia pamba...." m accountant by professional, based in Arusha town
    Have a good day!

    ReplyDelete

sema tukusikie