Monday

Miss Tanzania 2011

Vimwana wa Tanzania 2011
Tano Bora
My Girl Alexia William
Everning Dresses
So fly
Beach wear Designed by Kisa wa KIKI'S designs
Sheria Ngowi ndio alipika hivi Vivazi
Vivazi vitamu haswaaa
Kidukkilikuwepo katika opening Show
Tanzania ndio nchi yetu
Nyavu walikuwepo kuhakikisha Show inakwenda live
Juliana Kanyomozi Perfoming on Miss Tanzania Stage
Juliana Kanyomozi Looking So fly
Millen (Happiness) Magese alikuwepo kushuhudia onyesho hili baada ya miaka kumi toka alipotwaa taji hilo la miss Tanzania
Internationa Model Mtanzania mwenye mafanikio makubwa Cynthia Masasi alikuwepo ni mmoja wa majaji katika Shindano hili!! Am so proud of you!! your back home
Jokate aliwaka mbaya!! well dressed and can u magine!! alikuwa mtupuuuuuu!! just hilo gauni tu? sexy sexy sexy!!
So proud of You Jokate!! in Your own creation kwa msaada wa Mustafar Hassanali
Millen Magese on Stage na Taji Liundi
Jackline Kamkala MD wa Allure International in Martin Kadinda Design
The Whole dress!! kazi ya mikono yangu Mwenyewe
Mr & Mrs Right looking great!! Nancy Sumari na Luca
Yap Call Her Mama Collins
The Super Model Belina Alikanyaga Red carpet na hakuona Tabu kupiga picha na Mdogo wake!!
She used to Be Mrs Kadinda, i wonder who she is dating now!! Esi looking fly!! na swagger zake za soksi chini! ni balaaaaaaaaaaaa
Mange Kimambi, mama U turn in kiki's Design!! she was hooooowt

7 comments:

  1. Anonymous23:45

    kwa kweli mange hiyo nguo haijampendeza hata kidogo,nancy mwaaaa na jokate mpo juu na cynthia masasi upo juu mama

    ReplyDelete
  2. Anonymous23:46

    Juliana nafwaaaaa upo mahali pake unalipa mama wewe ni mrembo sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Anonymous09:10

    Martin me huwa sielewi unachovaa,hata kama ni kuwa tofauti basi vaa angalau kinachoenda na shughuli.Najua utajibu na utasema ila hujawahi kupendeza.Everning dress hahahaha me mbhavu sina.Endelea siku moja nawe utafika kutengeza wavitengezavyo akina Mustafa Hassanal na akina Sheria.

    ReplyDelete
  4. Anonymous09:15

    I like how Cynthia is carrying herself. Very reserved/classy personality! You look great and Kudos to you!

    ReplyDelete
  5. Anonymous03:05

    wewe martin what do you mean unaposema jokate yuko mtupu inamaana alikuwa hajavaa chupi? and how did you know kwamba hajavaa chupi? alikuonyesha kuwa hajvaa

    ReplyDelete
  6. Anonymous10:13

    mimi katika yote naombanitoe wazo jamani nalisikike huko sisi kwanini tunashindwa u miss wa dunia mimi nimeona tatizo watuwanao endakule weupe na sisi niwa africa kwanini ajawaikuchanguliwa mtu mweusi au anamvutooo kumbukeni rangi ni muhimu

    ReplyDelete
  7. Anonymous06:55

    Mange what the heck? Martin are you serious? unavaa kama unakwenda dukani..and then you call yourself model really? Stop wearing damn graphic Tees in such occasion! Kwanza waonekan too ghetto!

    ReplyDelete

sema tukusikie