Monday

Red Carpet Best Dressed: Miss Tanzania 2011

Mwanvita Makamba ndio alisimama Number Moja kwa wanawake, sikuweza kupata picha nzuri ya Millen Magese lakini naye alikuwa in my top list!! wengine mnawaona hapo!!
Wanaume walioitendea haki Red carpet ya mwaka huu ni hao hapo!! Millard Ayo kutoka Clouds media!! very Good kaka, Sheria Ngowi Your the Best bro

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie