Sunday

Ray J ataka Share kutoka Katika SEX Tape yake na Kim Kardashian

Mtu asiyejulikana amejitokeza na kutaka kununua Sextape ilikuwa imevuja ambayo ilikuwa ikimhusisha msichana anayeongoza kwa umaarufu kupitia kipindi cha KeepingUp with Kardashian, Kim Kardashian na Mwanamziki Ray J.. Wataalam wa mambo wanasema kwakuwa ni siri nzito imefichika inawezekana Kim Mwenyewe ndo anayetaka kuinunua na hivyo kupata haki za kuhakikisha inafutwa katika Mitandao yote ambapo inaweza kupatikana, Kutokana na Hilo Mwimbaji Ray J nae amaibuka na kudai kupata Sehemu ya Fedha hizo ambazo zitapatikana katika mauzo ya Sex tape hiyo, Wakili wa Ray J amekaririwa akisema kuwa Ray J amekubaliana na hilo kwakuwa anataka kupata kiasi cha fedha kutoka katika biashara hiyo ambayo inategemea kufanyika hivi karibuni.

Mnunuaji wa video hiyo amesema yupo tayari kutoa dola za kimarekani zenye thamani ya zaidi ya milioni 300za kitanzania ili kuhakikisha video hiyo inaondoka katika soko la video za ngono kwa sasa.

Wakili wa Ray J amesema, katika Swala la Sex Tape hiyo, mteja wake anahaki zote zinamruhusu kuwa mmoja wa wamiliki wa Sex tape hiyo hivyo haiwezekani ikauzwa bila yeye kuhusishwa na kupewa kiasi cha Fedha kutoka katika dili hilo.

Wakili hiyo pia hakuwa tayari kusema ni kiasi gani cha fedha ambacho Ray J anakihitaji.


No comments:

Post a Comment

sema tukusikie