Friday

FASHION SWAGGER CLOSE-UP YA AFTER SKUL BASH YA XXL

 HAYA SASA WENGINE WALIKUJA VIFUA WAZI....SHADEE HUYU UNAMJUA??
 KUPIGA PICHA KATIKA BLUE CARPET KULIKUWA NA SWAGGER TOFAUTI TOFAUTI, MPAKA KUPINDA MGONGO
 SHOES SWAGGER YA DOGO HUYU ILINIFURAHISHA
 HAPO NIAJE?
 TU_RANGI KWA MBALI KWA MBELE HAPO SIJUI WENZANGU MNAONA??

 THE ONLY ONE PINK MAN AMA??
 HAYA SASA RABA ZIKAMWAGIKA HUKU....





VIJANA WALIJITAHIDI KWAKWELI

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie