Sunday

Tsunami ya Burudani iliikumba Dar es salaam Weekend hii.. XXL AFTER SKUL BASH BLUE CARPET TEASER

KAMA NDIO TREND BASI VIJANA HAWA WALINIKUNA... VEST WITH GOLD KUUBWA SHINGONI.. STARTING WITH HAMIS MANDI...XXL BRAND MANAGER
AKAFUATA JUX... NA KWAKUGONGELEA MSUMARI KABISA JUX ALIKUW NA CL CHINI...HII NI CL Y PILI NAKUTANA NAYO BAADA YA KWANZA KUIONA KWA FALLY IPUPA.. JUX ANANIAMBIA KWA TANZANIA YEYE NDO WA KWANZA KUMILIKI NA ANARANGI TATU TOFAUTI TOFAUTI.. KAANZA NA HIYO YA GOLD
"KID" NEVER GONE WRONG WHEN IN COMES TO HIS OUTLOOKS
THE PRODUCER PANCHO AKIWA NA MABESTE 



HAMIS MANDI HIMSELF...BORN TO SHINE??

kid with  ciara

He was among my best dressed guys of the day: Nelly Kisanga

Shadee killed with her own swagger

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie